Yer. 30:17 SUV

17 Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA, kwa sababu wamekuita, mwenye kutupwa, wakisema, Ni Sayuni, ambao hapana mtu autakaye.

Kusoma sura kamili Yer. 30

Mtazamo Yer. 30:17 katika mazingira