Yer. 31:12 SUV

12 Nao watakuja, na kuimba katika mlima Sayuni, wataukimbilia wema wa BWANA, nafaka, na divai, na mafuta, na wachanga wa kondoo na wa ng’ombe; na roho zao zitakuwa kama bustani iliyotiwa maji; wala hawatahuzunika tena kabisa.

Kusoma sura kamili Yer. 31

Mtazamo Yer. 31:12 katika mazingira