13 Ndipo bikira atafurahi katika kucheza, na vijana na wazee pamoja; maana nitageuza masikitiko yao kuwa furaha, nami nitawafariji, na kuwafurahisha waache huzuni zao.
Kusoma sura kamili Yer. 31
Mtazamo Yer. 31:13 katika mazingira