Yer. 31:14 SUV

14 Nami nitaishibisha roho ya makuhani kwa unono, na watu wangu watashiba kwa wema wangu, asema BWANA

Kusoma sura kamili Yer. 31

Mtazamo Yer. 31:14 katika mazingira