Yer. 31:15 SUV

15 BWANA asema hivi,Sauti imesikiwa Rama,kilio, na maombolezo mengi,Raheli akiwalilia watoto wake;asikubali kufarijiwa kwa watoto wake, kwa kuwa hawako,

Kusoma sura kamili Yer. 31

Mtazamo Yer. 31:15 katika mazingira