Yer. 31:21 SUV

21 Jiwekee alama za njia; jifanyie miti ya kukuongoza; uuelekeze moyo wako kwenye njia kuu, njia ile ile uliyoiendea; rudi tena, Ee bikira wa Israeli, irudie hii miji yako.

Kusoma sura kamili Yer. 31

Mtazamo Yer. 31:21 katika mazingira