Yer. 31:27 SUV

27 Tazama, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapoipanda nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda, mbegu ya mwanadamu na mbegu ya mnyama.

Kusoma sura kamili Yer. 31

Mtazamo Yer. 31:27 katika mazingira