Yer. 32:17 SUV

17 Aa! Bwana MUNGU, tazama, wewe umeziumba mbingu na nchi, kwa uweza wako mkuu na kwa mkono wako ulionyoshwa; hapana neno lililo gumu usiloliweza;

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:17 katika mazingira