Yer. 32:23 SUV

23 nao wakaingia, wakaimiliki; lakini hawakuitii sauti yako, wala hawakuenda katika sheria yako; hawakutenda neno lo lote katika haya uliyowaagiza wayatende; basi, kwa sababu hii umeleta juu yao mabaya haya yote;

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:23 katika mazingira