Yer. 32:24 SUV

24 angalia maboma haya; wameujia mji huu ili kuutwaa; na mji huu umetiwa katika mikono ya Wakaldayo wanaopigana nao, kwa sababu ya upanga, na njaa, na tauni; na hayo uliyosema yamekuwa; na, tazama, wewe unayaona.

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:24 katika mazingira