Yer. 32:25 SUV

25 Nawe, Ee Bwana MUNGU, umeniambia, Jinunulie shamba lile kwa fedha, ukawaite mashahidi; iwapo mji huu umetiwa katika mikono ya Wakaldayo; je! Itakuwaje?

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:25 katika mazingira