Yer. 32:29 SUV

29 na Wakaldayo, wanaopigana na mji huu, watakuja, na kuutia moto mji huu, na kuuteketeza, pamoja na nyumba zake, ambazo juu ya dari zake wamemfukizia Baali uvumba, na kuwamiminia miungu mingine vinywaji, ili kunikasirisha.

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:29 katika mazingira