Yer. 32:30 SUV

30 Maana wana wa Israeli, na wana wa Yuda, wametenda yaliyo mabaya tu mbele za uso wangu, tangu ujana wao; maana wana wa Israeli wamenichokoza tu kwa matendo ya mikono yao, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:30 katika mazingira