Yer. 33:8 SUV

8 Nami nitawasafisha na uovu wao wote, ambao kwa huo wamenitenda dhambi; nami nitawasamehe maovu yao yote, ambayo kwayo wamenitenda dhambi, na kukosa juu yangu.

Kusoma sura kamili Yer. 33

Mtazamo Yer. 33:8 katika mazingira