Yer. 33:9 SUV

9 Na mji huu utakuwa kwangu jina la furaha, na sifa na utukufu, mbele ya mataifa yote ya dunia, watakaosikia habari ya mema yote niwatendeayo, nao wataogopa na kutetemeka, kwa sababu ya mema yote na amani nitakaoupatia mji huo.

Kusoma sura kamili Yer. 33

Mtazamo Yer. 33:9 katika mazingira