Yer. 34:14 SUV

14 Mwisho wa kila mwaka wa saba kila mtu na amweke huru ndugu yake aliye Mwebrania, aliyeuzwa kwako na kukutumikia miaka sita utamwacha atoke kwako huru, lakini baba zenu hawakunisikiliza, wala hawakutega masikio yao.

Kusoma sura kamili Yer. 34

Mtazamo Yer. 34:14 katika mazingira