Yer. 34:15 SUV

15 Na ninyi mlikuwa mmegeuka, mkafanya yaliyo haki machoni pangu, kwa kumtangazia uhuru kila mtu ndugu yake; nanyi mlikuwa mmefanya agano mbele zangu, katika nyumba ile iitwayo kwa jina langu;

Kusoma sura kamili Yer. 34

Mtazamo Yer. 34:15 katika mazingira