Yer. 34:22 SUV

22 Tazama, nitawapa amri yangu, asema BWANA, na kuwarejeza kwenye mji huu; nao watapigana nao, na kuutwaa, na kuuteketeza kwa moto; nami nitaifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa, isikaliwe na mtu.

Kusoma sura kamili Yer. 34

Mtazamo Yer. 34:22 katika mazingira