Yer. 36:1 SUV

1 Ikawa katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, neno hili likamjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema,

Kusoma sura kamili Yer. 36

Mtazamo Yer. 36:1 katika mazingira