Yer. 36:2 SUV

2 Twaa gombo la chuo, ukaandike ndani yake maneno yote niliyokuambia juu ya Israeli, na juu ya Yuda, na juu ya mataifa yote, tangu siku ile niliponena nawe, tangu siku za Yosia, hata siku hii ya leo.

Kusoma sura kamili Yer. 36

Mtazamo Yer. 36:2 katika mazingira