Yer. 37:5 SUV

5 Na jeshi la Farao lilikuwa limetoka nchi ya Misri; na Wakaldayo waliohusuru Yerusalemu, waliposikia habari zao, wakavunja kambi yao mbele ya Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Yer. 37

Mtazamo Yer. 37:5 katika mazingira