Yer. 38:11 SUV

11 Basi Ebedmeleki akawachukua watu hao pamoja naye, akaingia ndani ya nyumba ya mfalme chini ya ghala, akatoa mle nguo zilizotupwa, na vitambaa vikuukuu, akamtelemshia Yeremia shimoni kwa kamba.

Kusoma sura kamili Yer. 38

Mtazamo Yer. 38:11 katika mazingira