Yer. 38:12 SUV

12 Naye Ebedmeleki, Mkushi, akamwambia Yeremia, Tia nguo hizi zilizotupwa, na vitambaa hivi vikuukuu, chini ya kamba kwapani. Naye Yeremia akafanya hivyo.

Kusoma sura kamili Yer. 38

Mtazamo Yer. 38:12 katika mazingira