Yer. 4:22 SUV

22 Kwa maana watu wangu ni wapumbavu, hawanijui; ni watoto waliopungukiwa na akili, wala hawana ufahamu; ni wenye akili katika kutenda mabaya, bali katika kutenda mema hawana maarifa.

Kusoma sura kamili Yer. 4

Mtazamo Yer. 4:22 katika mazingira