Yer. 4:23 SUV

23 Naliiangalia nchi, na tazama, ilikuwa ukiwa, haina watu; naliziangalia mbingu, nazo zilikuwa hazina nuru.

Kusoma sura kamili Yer. 4

Mtazamo Yer. 4:23 katika mazingira