Yer. 4:7 SUV

7 Simba ametoka katika kichaka chake, ndiye aangamizaye mataifa; ameanza kushika njia, ametoka katika mahali pake; ili aifanye nchi yako kuwa ukiwa, miji yako ifanywe maganjo, asibaki mwenyeji ndani yake.

Kusoma sura kamili Yer. 4

Mtazamo Yer. 4:7 katika mazingira