Yer. 4:6 SUV

6 Twekeni bendera kuelekea Sayuni; kimbieni mpate kuwa salama, msikawie; kwa maana nitaleta mabaya toka kaskazini, na maangamivu makuu.

Kusoma sura kamili Yer. 4

Mtazamo Yer. 4:6 katika mazingira