Yer. 4:5 SUV

5 Tangazeni katika Yuda, hubirini katika Yerusalemu, na kusema, Pigeni baragumu katika nchi, pigeni kelele sana, na kusema, Jikusanyeni pamoja, tukaingie katika miji yenye boma.

Kusoma sura kamili Yer. 4

Mtazamo Yer. 4:5 katika mazingira