Yer. 40:9 SUV

9 Na Gedalia, mwana wa Ahikamu, mwana wa Shafani, akawaapia wao na watu wao, akisema, Msiogope kuwatumikia Wakaldayo; kaeni katika nchi, mkamtumikie mfalme wa Babeli; nayo itawafaa.

Kusoma sura kamili Yer. 40

Mtazamo Yer. 40:9 katika mazingira