Yer. 41:6 SUV

6 Na Ishmaeli, mwana wa Nethania, akatoka Mizpa kwenda kuwalaki, akilia alipokuwa akiendelea; ikawa alipokutana nao akawaambia, Njoni kwa Gedalia, mwana wa Ahikamu.

Kusoma sura kamili Yer. 41

Mtazamo Yer. 41:6 katika mazingira