Yer. 41:7 SUV

7 Basi ikawa walipokuwa katikati ya mji, Ishmaeli, mwana wa Nethania, akawaua, akawatupa katika shimo, yeye na watu wale waliokuwa pamoja naye.

Kusoma sura kamili Yer. 41

Mtazamo Yer. 41:7 katika mazingira