Yer. 41:8 SUV

8 Lakini watu kumi walionekana miongoni mwao, waliomwambia Ishmaeli, Usituue; kwa maana tuna akiba zetu zilizofichwa kondeni, za ngano, na shayiri, na mafuta, na asali. Basi, akawaacha, asiwaue watu hao pamoja na ndugu zao.

Kusoma sura kamili Yer. 41

Mtazamo Yer. 41:8 katika mazingira