Yer. 42:10 SUV

10 Ikiwa mtakaa bado katika nchi hii, ndipo nitawajenga, wala sitawabomoa, nami nitawapanda, wala sitawang’oa; kwa maana nayajutia mabaya niliyowatenda.

Kusoma sura kamili Yer. 42

Mtazamo Yer. 42:10 katika mazingira