Yer. 42:11 SUV

11 Msimwogope mfalme wa Babeli, mnayemwogopa; msimwogope, asema BWANA; maana mimi ni pamoja nanyi, niwaokoe, na kuwaponya na mkono wake.

Kusoma sura kamili Yer. 42

Mtazamo Yer. 42:11 katika mazingira