Yer. 42:4 SUV

4 Ndipo Yeremia, nabii, akawaambia, Nimewasikia; tazama, nitamwomba BWANA, Mungu wenu, sawasawa na maneno yenu; tena itakuwa, neno lo lote ambalo BWANA atawajibu, nitawaambia; sitawazuilia neno liwalo lote.

Kusoma sura kamili Yer. 42

Mtazamo Yer. 42:4 katika mazingira