Yer. 44:27 SUV

27 Tazama, nawaangalia niwaletee mabaya, wala si mema; nao watu wote wa Yuda, waliopo hapa katika nchi ya Misri, wataangamizwa kwa upanga, na kwa njaa, hata wakomeshwe kabisa.

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:27 katika mazingira