Yer. 44:28 SUV

28 Nao watakaoukimbia upanga, watatoka katika nchi ya Misri, na kuiingia nchi ya Yuda, watu wachache sana; na wote wa Yuda waliosalia, waliokwenda nchi ya Misri ili kukaa huko, watajua ni neno la nani litakalosimama, neno langu, au neno lao.

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:28 katika mazingira