Yer. 44:3 SUV

3 kwa sababu ya uovu wao, waliotenda ili kunikasirisha, kwa kuwa walikwenda kufukiza uvumba, na kuwatumikia miungu mingine, ambao hawakuwajua, wao, wala ninyi, wala baba zenu.

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:3 katika mazingira