Yer. 44:2 SUV

2 BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Ninyi mmeona mabaya yote niliyoleta juu ya Yerusalemu, na juu ya miji yote ya Yuda; na, tazama, ni ukiwa leo, wala hapana mtu akaaye ndani yake;

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:2 katika mazingira