Yer. 44:1 SUV

1 Neno lililomjia Yeremia, katika habari za Wayahudi wote waliokaa katika nchi ya Misri, waliokaa Migdoli, na Tahpanesi, na Nofu, na katika nchi ya Pathrosi, kusema,

Kusoma sura kamili Yer. 44

Mtazamo Yer. 44:1 katika mazingira