Yer. 46:4 SUV

4 Watandikeni farasi; pandeni, enyi mpandao farasi; simameni na chapeo zenu, isugueni mikuki; zivaeni dirii.

Kusoma sura kamili Yer. 46

Mtazamo Yer. 46:4 katika mazingira