Yer. 46:8 SUV

8 Misri anajiinua kama mto Nile,Na maji yake yanajirusha kama mito;Asema, Nitajiinua, nitaifunikiza nchi;Nitauharibu mji na hao wakaao ndani yake.

Kusoma sura kamili Yer. 46

Mtazamo Yer. 46:8 katika mazingira