Yer. 46:9 SUV

9 Haya! Pandeni, enyi farasi;Jihimizeni, enyi magari ya vita;Mashujaa nao na watoke njeKushi na Puti, watumiao ngao;Nao Waludi, washikao uta na kuupeta.

Kusoma sura kamili Yer. 46

Mtazamo Yer. 46:9 katika mazingira