Yer. 48:1 SUV

1 Habari za Moabu. BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Ole wake Nebo! Kwa maana umeharibika; Kiriathaimu umeaibishwa, umetwaliwa; Misgabu umeaibishwa, nao umebomolewa.

Kusoma sura kamili Yer. 48

Mtazamo Yer. 48:1 katika mazingira