Yer. 48:2 SUV

2 Sifa za Moabu haziko tena; katika Heshboni wameazimia mabaya juu yake, Haya! Njoni, na tumkatilie mbali asiwe taifa. Wewe nawe, Ee Madmena, utanyamazishwa; upanga utakufuatia.

Kusoma sura kamili Yer. 48

Mtazamo Yer. 48:2 katika mazingira