Yer. 48:33 SUV

33 Furaha na shangwe zimeondoshwa, katika shamba lizaalo sana, na katika nchi ya Moabu; nami nimeikomesha divai katika mashinikizo; hapana mtu atakayekanyaga zabibu kwa shangwe; shangwe ile itakuwa si shangwe.

Kusoma sura kamili Yer. 48

Mtazamo Yer. 48:33 katika mazingira