Yer. 48:34 SUV

34 Toka kilio cha Heshboni mpaka Eleale, naam, mpaka Yahasa, wametoa sauti zao, toka Soari mpaka Horonaimu, hata Eglath-shelishia; maana maji ya Nimrimu nayo yatakuwa ukiwa.

Kusoma sura kamili Yer. 48

Mtazamo Yer. 48:34 katika mazingira