Yer. 48:38 SUV

38 Juu ya dari zote za nyumba za Moabu, na katika njia kuu zake, pana maombolezo, kila mahali; kwa maana nimevunja Moabu kama chombo kisichopendeza, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 48

Mtazamo Yer. 48:38 katika mazingira