Yer. 48:39 SUV

39 Jinsi alivyovunjika! Pigeni yowe! Jinsi Moabu alivyogeuza kisogo kwa haya! Hivyo ndivyo Moabu atakavyokuwa dhihaka, na sababu ya kuwashangaza watu wote wamzungukao.

Kusoma sura kamili Yer. 48

Mtazamo Yer. 48:39 katika mazingira