Yer. 48:44 SUV

44 Aikimbiaye hofu ataanguka shimoni; na yeye atokaye shimoni atanaswa kwa mtego; maana nitaleta juu yake, yaani, juu ya Moabu, mwaka wa kujiliwa kwake, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 48

Mtazamo Yer. 48:44 katika mazingira